Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiangalia ngoma za asili mwambao mwa ziwa Nyasa kisha kuzungumza na wananchi wa Mji wa Mbamba bay, wilayani Nyasa, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Bandari, leo Jumamosi tarehe 5 Aprili 2025, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku tano katika Mkoa wa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.