Virusi vya corona vilitokea Desemba mwaka jana lakini tayari dunia nzima inakabiliana na janga hili la Covid-19.Kwa wengi ugonjwa huu unajitokeza nguvu yake ikiwa ya wastani tu lakini baadhi ya watu hufa.
Lakini je virusi hivi vinaathiri vipi mwili, kwanini baadhi ya watu wanakufa na je tiba yake ikoje? makala kwa kina hapa https://www.bbc.com/swahili/habari-51896836
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.