WILAYA ya Nyasa mkoani Ruvuma ina fursa lukuki za uwekezaji hali ambayo inavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kufukuzia fursa hizo.Hii ni hoteli ya watawa wa kanisa katoliki wa Mtakatifu Vinsenti ambao wamejenga hoteli ya kisasa katika eneo la Mharo Kata ya Kilosa mjini Mbambabay.
Hili ni eneo la mji wa Mbambabay ambao ni makao ya Wilaya ya Nyasa,mji huu ni kitovu cha utalii mkoani Ruvuma kwa sababu kuna aina mbalimbali za utalii ambazo zinapatikana katika mji huu ikiwemo utalii wa fukwe,kuogelea,samaki wa mapambo,uwepo wa visiwa maarufu vya Zambia na Lundo ambavyo pia inaweza kuwekeza katika sekta ya utalii.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.