Pichani kuanzia kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mheshimiwa Aziza Mangosongo akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mheshimiwa Ngollo Malenya na Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mheshimiwa Filiberto Sanga wakisikiliza mada zilizowasilishwa kwenye kikao cha uzinduzi wa Mfumo wa Rufaa na usafiri wa dharura kwa wajawazito,waliojifungua na watoto wachanga (M-MAMA) .kikao hicho cha siku moja kimefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.