Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa, Abdulrahman Kinana akiwasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kushiriki ufunguzi wa msikiti mpya wa Taqwa Uliopo kijiji cha Mtakanini Wilayani Namtumbo
Makamu Mwenyekiti Kinana amepokelewa katika uwanja wa ndege wa Songea na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas Pichani kushoto
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.