Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akitoa salama za Mkoa kwa Naibu Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Marypricsa Mahundi ambaye amefanya ziara ya kikazi ya siku moja wilayani Songea yenye lengo la kukagua maeneo yanayojengwa minara miwili inayounganishwa na mkongo wa Taifa katika vijiji vya Maposeni na Mnunduwaro wilayani Songea kwa lengo la kupanua wigo wa usikivu na kuboresha mawasiliano
Naibu Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Maryprisca Mahundi akizungumza baada ya kupokea salama za Mkoa waa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.