Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Nyanda za Juu Kusini Mhandisi John Asajile ametoa rai kwa Halmashauri zote mkoani Ruvuma kuanzisha vituo vya redio.
Amesema hadi sasa katika Mkoa wa Ruvuma kuna vituo nane vya redio ambapo Halmashauri hazina vituo vya redio
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.