• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

HALMASHAURI ya Mbinga yachangia milioni 240 mfuko wa wanawake

Imewekwa kuanzia tarehe: June 15th, 2022

HALMASHAURI ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma imechangia Zaidi ya shilingi milioni 240  kwenye mfuko wa wanawake wa uwezeshaji vijana na wenye ulemavu.

Akizungumza kwenye kikao maalum cha Baraza la madiwani cha kujadili taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu  wa Hesabu za Serikali CAG kwa mwaka 2020/2021 kwenye ukumbi wa Sekondari ya Kigonsera,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge imeipongeza Halmashauri  ya Mbinga kwa kuchangia kwa asilimia 92 kwenye mfuko huo wenye vikundi 13.

Kati ya fedha hizo kundi la wanawake limepata Zaidi ya shilingi milioni 108,vijana Zaidi ya shilingi milioni 106 na kundi la wenye ulemavu ni shilingi milioni 25.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,pia ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kwa kuweza kukusanya mapato ya ndani  kwa asilimia 77 ya lengo la kukusanya Zaidi ya shilingi bilioni nne ambapo Halmashauri hiyo imeweza kukusanya Zaidi ya shilingi bilioni tatu.

“Kwa mwaka wa fedha 2019/2020 hamkufikia kile kiwango cha angalau asilimia 81 hivyo nawapa hongera kwa kiasi,lakini nawatia shime ongezeni jitihada za kukusanya na kuhakikisha Halmashauri yenu inafikia lengo la kitaifa la kukusanya kuanzia asilimia 81’’,alisisitiza RC Ibuge.

Hata hivyo Ibuge amesema licha ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kupata hati safi kwa mwaka wa fedha 2020/2021,mwenendo wa hati za ukaguzi kwa Halmashauri hiyo kwa miaka minne mfululizo unaonesha kuwa wamekuwa wanapata hati safi kuanzia mwaka 2017/2018 hadi mwaka 2020/2021.

Akizungumza kwenye kikao hicho Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Ndugu Odo Mwisho ameipongeza serikali kwa kutoa fedha Zaidi ya shilingi bilioni tatu kutekeleza mradi  wa jengo la Halmashauri hiyo ambalo linatarajia kukamilika hivi karibuni.

Amesema serikali ya Awamu ya Sita imekuwa inajitahidi kutoa fedha za kutekeleza miradi mbalimbali katika Mkoa wa Ruvuma kwa asilimia 100 ambapo amesisitiza viongozi kuhakikisha wanasimamia miradi hiyo ili iweze kukamilika kwa wakati.

Imeandikwa na Albano Midelo

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Juni 15,2022

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.