Halmashauri zote nane mkoani Ruvuma zimepata hati safi kufuatia taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali katika mwaka unaoishia Juni 30 2021.
Akizungumza katika kikao maalum cha CAG cha Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Madaba,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameipongeza Halmashauri hiyo kuungana na Halmashauri nyingine za Mkoa wa Ruvuma kuweza kupata hati safi kufuatia ukaguzi wa CAG na kwamba Halmashauri ya madaba pia imefanya vizuri katika utoaji mikopo kwa wanawake,vijana na watu wenye ulemavu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.