Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ni juhudi ya serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa huduma za afya kwa wakazi wa Manispaa ya Songea na maeneo jirani.
Ujenzi wa hospitali hii ulianza tarehe 9 Desemba 2021 katika eneo la Sanangula, Kata ya Shule ya Tanga.
Hospitali hii imeanza kutoa huduma za msingi za matibabu kwa wananchi, ikiwa ni hatua muhimu katika kupunguza kero na umbali wa upatikanaji wa huduma za afya kwa wakazi wa Manispaa ya Songea na maeneo ya jirani .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.