Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha vituo vya kutolea huduma za afya ikiwemo hospitali ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ambayo imekuwa mkombozi kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa na maeneo jirani ambao wanafika katika hospitali hiyo kupata huduma mbalimbali za afya ikiwemo huduma ya upasuaji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.