Hospitali ya Wilaya ya Nyasa, iliyoko mkoani Ruvuma, imepata maboresho makubwa tangu kuanzishwa kwake rasmi mnamo Juni 2021.Hospitali hii imekuwa msaada mkubwa kwa wakazi wa Wilaya ya Nyasa na maeneo jirani, ikiwa ni pamoja na vijiji vya Halmashauri ya Mji wa Mbinga na hata nchi jirani ya Msumbiji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.