MRADI wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Namtumbo umekamilika kwa asilimai 97 na unatarajia kuanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo Machi mwaka huu.Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma imekagua mradi huo na kuridhishwa na hatua hiyo.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=tDD5tS5YtcY
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.