Muonekano wa hoteli ya kitalii ya Madenge Beach Resort iliyopo Kilosa Mbambabay ziwa Nyasa wilayani Nyasa mkoani Ruvuma. Ni moja ya hoteli mpya katika wilaya ya Nyasa .Wawekezaji wa ndani na nje wanahamasishwa kuwekeza katika sekta ya utalii wilayani Nyasa kwa kuwa wilaya hiyo ni kitovu cha utalii mkoani Ruvuma ikiwa imebarikiwa kuwa na vivutio mbalimbali vya utalii vikiwemo ziwa Nyasa,fukwe,visiwa,milima ya livingistone,samaki wa mapambo na mawe ya kuvutia likiwemo jiwe la kihistoria la Pomonda lililopo Liuli.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.