Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ambapo umeridhia kuweka jiwe la msingi katika mradi wa Hoteli binafsi Leonard Chindongo inayoitwa Madenge Beach Resort iliopo katika kijiji cha Kilosa Mbambabay ambao umegharimu shilingi bilioni 1.5.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.