Naibu Waziri wa Afya Mheshimiwa Dr.Godwin Mollel amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa asilimia 97 imewezesha huduma za kiteknolojia za afya zinazotolewa Ulaya na India kutolewa katika hospitali zilizopo nchiniDr. Mollel alikuwa anazungumza kwenye sherehe za kusimikwa na kumbariki Abate Mpya wa Abasia ya Peramiho Mhashamu Emanuel Mlwilo OSB kwenye kanisa la Abasia ya Peramiho
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.