Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mheshimiwa Mustapher Siyani amewahimiza waajiri nchini kujisajiri na kutoa taarifa za ajira za wafanyakazi wao kwenye Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF).
Jaji Siyani ameyasema hayo mjini Songea wakati anafungua kikao kazi cha mafunzo kuhusu sheria ya fidia kwa wafanyakazi yaliyowashirikisha majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania ,Divisheni ya Kazi Kanda ya Kusini ,watendaji wa Mahakama na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA)
Amesema licha ya kuwepo sheria bado kuna waajiri wanaoshindwa kuwasajiri wafanyakazi WCF na kuna waajiri ambao hawatoi taarifa za wafanyakazi wao hivyo kuuweka Mfuko katika hali ngumu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.