Pichani katikati ni Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa. Ibrahim Juma alipomtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas (kushoto) ofisini kwake mjini Songea.Jaji Mkuu yupo mkoani Ruvuma,ambapo leo Agosti 14,2023,amezindua kikao cha Mahakama ya Rufaa Songea kilichofanyika katika viwanja vya Mahakama Kuu Kanda ya Songea..
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.