RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mheshimiwa Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Afya kabla ya uteuzi huo Mheshimiwa Mhagama alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge na Uratibu.
Hongera wananchi wa Jimbo la Peramiho,hongera wananchi wa Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.