WAUMINI wote wa Jimbo Kuu la Songea pamoja na Waamini kutoka katika Kila Jimbo ndani na nje ya Tanzania mnakaribishwa kwenye sherehe ya Jubilei ya miaka 125 ya Unjilishaji jimboni Songea. Misa ya Sherehe hiyo ya Jubilei itaanza saa 3 kamili siku ya Jumapili ya tarehe 1.10.2023 huko Peramiho.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.