Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile akizungumza jambo na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo katika Jukwaa la mwaka la mashirika yasiyo ya kiserikali lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea
Mkuu wa Wilaya ya Songea alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed
Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo akizungumza Jukwaa la mwaka la Mashirika yasiyo ya Kiserikali lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.