Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Wilayani Tunduru, miradi iliyokaguliwa ni pamoja na
Kamati imekagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kuzingatia mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na uwiano wa gharama na kazi iliyofanyika, ubora wa vifaa na kazi Zilizofanywa, muda wa utekelezaji wa mradi na matumizi sahihi ya fedha za mradi.
Ziara hiyo iliongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mhe. Hairu Hemed Musa, na iliambatana na waheshimiwa Madiwani ambao ni wajumbe wa kamati hiyo pamoja na Wataalamu mbalimbali toka ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.