Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa na Kamati ya Mawaziri wanane wa Kisekta ikiongozwa na Mwenyekiti wake katikati pichani Mheshimiwa Jerry Silaa ambaye pia ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi .
Kamati hiyo imeanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kushughulikia migogoro ya ardhi .
Kamati hiyo inaundwa na waheshimiwa mawaziri wanane wa Wizara za kisekta ambazo Wizara zao zimeathiriwa na uwepo wa migogoro inayotokana na matumizi ya ardhi
Pichani wa kwanza kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa Khamis Hamza Khamis
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.