Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho akizungumza baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu ya familia mbili na matundu matatu ya vyoo katika shule ya Msingi kijiji cha Litola Wilaya ya Namtumbo mradi unaogharimu shilingi milioni 148.
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa imeridhishwa na utekelezaji wa mradi huo, Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma inaendelea na ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.