KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi CCM mkoani Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Odo Mwisho imekagua mradi wa maji wa Likuysekamaganga wilayani Namtumbo ambao umegharimu shilingi bilioni 3.5.Mradi huo unatarajia kukamilika kwa asilimia 100 Mei 30 mwaka huu na unatarajiwa kukabidhiwa kwa wananchi Juni mosi mwaka huu.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=pTY2M3RQh2Q
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.