Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Odo Mwisho imekagua mradi wa ujenzi wa shule mpya ya Msingi katika kijiji cha Suluti wilaya na Namtumbo,mradi ambao unagharimu shilingi milioni 331.
Kamati hiyo imepongeza utekelezaji wa mradi huo,hata hivyo imeagiza mradi huo kukamilika kwa asilimia 100 ili uanze kutoa huduma kwa wanafunzi
Kamati ya Siasa inaendelea na ziara ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani Ruvuma ambapo hadi sasa tayari imekagua miradi katika Halmashauri za Tunduru na Namtumbo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.