Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Odo Mwisho imekagua mradi wa ujenzi wa hosteli ya wanafunzi wenye ulemavu katika shule ya Msingi Namtumbo.
Mradi huo hadi sasa umegharimu shilingi milioni 100 ambapo hadi kukamilika kwa mradi huo,zinahitajika shilingi milioni 38.
Kamati ya Siasa imeahidi kutafutia ufumbuzi changamoto ya fedha ili mradi huo uweze kukamilika na kuwahudumia wanafunzi wenye mahitaji maalum
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.