Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Odo Mwisho akizungumza baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa madarasa,mabweni na vyoo katika shule ya sekondari Pamoja Wilaya ya Namtumbo ambapo serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 900 kutekeleza mradi huo.
Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mheshimiwa Ngollo Malenya
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma inaendelea na ziara ya ukaguzi miradi ya maendeleo katika Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.