Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Oddo Mwisho imekagua mradi wa ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Lilondo Kata ya Wino Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ambapo serikali kupitia program ya uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP)imetoa shilingi milioni 560.
Kamati imeridhishwa na utekelezaji wa mradi huo ambao unakwenda kupunguza umbali wa kusoma wanafunzi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.