KUSHOTO ni Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho akikabidhiwa vitanda 20 vilivyotolewa na Mwekezaji wa kijiji cha Ifinga Kampuni ya Mufindi Wood Poles Planting and Timber ambaye ametoa msaada wa vitanda hivyo kwa ajili ya shule ya sekondari ya Ifinga hivyo kumaliza changamoto ya upungufu wa vitanda katika shule hiyo.
Shule ya sekondari Ifinga ina jumla ya wanafunzi 80 wanaosoma kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.