MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake kiuchumi la Mkoa wa Ruvuma kwenye hafla kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambazo katika Mkoa wa Ruvuma maadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja vya bandari mjini Mbambabay wilayani Nyasa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.