MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya lishe kitaifa Oktoba 30 mwaka huu ambayo yataadhimishwa kwenye mikoa yote Tanzania bara
Maadhimisho hayo mkoani Ruvuma yanatarajia kufanyika katika shule ya sekondari ya Songea Girls ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanatarajia kufanyika wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani.
Maadhimisho hayo yanakwenda sanjari na uzinduzi wa kampeni ya lishe kwa vijana balehe yenye kauli mbiu “Lishe Bora kwa Vijana Balehe,Chachu ya Mafanikio Yao’’
Tukio hili sio la kukosa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.