MOJA ya hoteli ya kisasa yenye hadhi ya kitalii iliyojengwa katika eneo la Linda Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma inayoitwa Madenge Beach Resort yenye vyumba 25 ambayo hadi sasa ujenzi wake umegharimu zaidi ya shilingi bilioni 1.5 na ujenzi unaratajiwa kukamilika Desemba mwaka huu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.