Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban akiwa Mbunge wa Jimbo la Madaba Mhe Joseph Mhagama, alipotembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii linalosimamiwa na Chuo cha mafunzo ya uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii Likuyu Sekamaganga, kwenye wiki ya Kumbukizi ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji iliyo zinduliwa jana Februari 23, 2023 katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Mahenge mjini Songea ambapo kilele chake ni Februari 27, 2023
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.