Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ni kitovu cha utalii mkoani Ruvuma kutokana na wilaya hiyo kusheheni aina mbalimbali z vivutio vya utalii likiwemonziwaaa Nyasa lenye vivutio lukuki kama vile samaki wa mapambo,fukwe za asili za kuvutia,visiwa na uwepo wa milima ya livingistone inayovutia wengi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.