ALIYEKUWA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mkoa wa Ruvuma ambaye Rais Dkt John Magufuli amemteua kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Prof.Riziki Shemdoe amefanya makabidhiano na Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Ruvuma Steven Mashauri.Makabidhiano hayo ambayo yameshuhudiwa na watendaji waandamizi ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma na makatibu Tawala wa wilaya,yamefanyika katika ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.