Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Mary Makondo amewaasa watumishi wa umma kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu ikiwemo kuwahudumia wananchi ili kufanya utumishi uliotukuka.
Makondo ametoa rai hiyo wakati anazungumza kwa mara ya kwanza na watumishi wa ofisi yake tangu alipoteuliwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.