Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki kulia akipokea tuzo ya kutambua mchango wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma katika kuwahudumia watu wenye Ualbino. Tuzo hiyo imetolewa kwenye kilele Cha maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Watu wenye Ualbino duniani ambayo imefanyika kitaifa kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.