• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

KAYA 67,780 zinavyonufaika na TASAF Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: May 22nd, 2023

JUMLA ya kaya 67,780 mkoani Ruvuma zimeendelea kunufaika na Mpango wa kunusuru kaya masikini (TASAF) katika kipindi cha kuanzia Julai 2022 hadi Desemba 2022.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Desemba 2022 Halmashauri nane za Mkoa wa Ruvuma zilipokea zaidi ya shilingi bilioni 7.78 zilizotolewa kwa ajili ya uhawilishaji na ufuatiliaji wa TASAF.

Amebainisha kuwa uhawilishaji wa fedha unahusisha utoaji wa ruzuku kwa kaya za walengwa hususan zenye Watoto ili ziweze kupata lishe bora na mahitaji muhimu ya shule na kupata huduma za afya.

“Mpango wa TASAF awamu ya tatu upo katika kipindi cha pili (2020-2025) cha utekelezaji ambapo katika Mkoa wa Ruvuma unatekelezwa kwenye Halmashauri zote nane,unafanyika katika vijiji na mitaa yote ’’,alisema.

Amelitaja lengo la serikali kuanzisha mpango huo kuwa ni kuziwezesha kaya masikini sana kuongeza kipato,fursa na uwezo wa kugharamia mahitaji muhimu.

Kwa upande wake Afisa Maendeleo ya Jamii mkoani Ruvuma Xsaveria Mlimira amesema zaidi ya shilingi milioni 107 zilirudishwa TASAF makao makuu  kutokana na walengwa kutofika katika malipo katika kipindi husika.

Amesema kila mwezi uhawilishaji fedha kwa kutoa ruzuku  ya shilingi 12,000 kwa kila kaya masikini unafanyika ili kaya masikini ziweze kuongeza kipato kupitia uwekaji akiba na kuanzisha shughuli za kiuchumi.

Mpango wa kunusuru kaya masikini hivi sasa upo katika sehemu ya pili ya utekelezaji na unahusisha vijiji na mitaa 685 katika Mkoa wa Ruvuma.

Imeandikwa na Albano Midelo wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Mkoa wa Ruvuma

Mei 22,2023

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KIONGOZI mwenge wa Uhuru aonya rushwa kwenye uchaguzi

    May 10, 2025
  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.