KITUO kikuu cha mabasi Mkoa wa Ruvuma kilichojenga Kata ya Tanga Manispaa ya Songea kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni sita kimekamilika na kinatarajia kufunguliwa wakati wowote mwaka huu.Kituo hicho kina uwezo wa kusimama mabasi 92 kwa wakati mmoja.TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=oTXwThOwzPs
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.