Kikao kazi cha serikali Mtandao ambacho kinashirikisha washiriki zaidi ya 1200 kutoka Taasisi za serikali,Wizara,Mikoa na Halmashauri zote nchini kinafanyika kwa siku tatu kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa AICC jijini Arusha.
Kikao hicho ambacho kimefunguliwa na Mwakilishi wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kinatarajia kukamilika Februari 10,2023.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.