Pichani katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa kwenye kikao kazi cha kuimarisha Kamati za Usimamizi wa maafa za Mkoa katika kuzuia na kupunguza madhara ya majanga.
Pichani kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge na Uratibu Mheshimiwa Ummy Nderiananga ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye kikao hicho.
Kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.