Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amefungua kikao kazi cha 18 cha maafisa Habari Serikalini ambacho kimefanyika kwenye Kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mwl Nyerere jijini Dar es salaam ambapo maafisa Habari na Mawasiliano zaidi ya 600 kutoka Tanzania Bara na visiwani wanashiriki kikao kazi hicho cha siku tano.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.