Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Gofrey Mnzava amekabidhwi vifaa kwa watoto wenye mahitaji maalum katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma ambapo amesema serikali ya Awamu ya Sita inawathamini watu wenye ulemavu ndiyo maana inajitahidi kupunguza changamoto mbalimbali zinazowakabili
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.