• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

KIONGOZI wa Mwenge wa Uhuru aweka jiwe la Msingi Kliniki ya kinywa na meno Namtumbo

Imewekwa kuanzia tarehe: April 19th, 2023

SERIKALI imetoa kiasi cha Sh.milioni 320,643,000 kwa ajili ya kujenga jengo la kliniki ya afya ya kinywa na meno katika Hospitali ya wilaya Namtumbo mkoani Ruvuma ikiwa ni mkakati wake wa kuboresha huduma za afya kwa wananchi.

Akitoa taarifa ya ujenzi wa jengo hilo kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2023 Abdala Shaib Kaim,Mganga mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt Christopher Wabwarumy amesema,ujenzi wa mradi huo ulianza mwezi Mei mwaka jana na unatarajiwa kukamilika tarehe 30 April mwaka 2023.

Amesema,madhumuni ya ujenzi wa mradi huo ni kuendelea kuboresha huduma za afya katika wilaya ya Namtumbo kwa kutoa huduma bora za afya kwa wakazi wa wilaya hiyo.

Dkt Wabwarumy,ameipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuboresha huduma za afya kwa wananchi kwa kuendelea kujenga Hospitali,vituo vya afya na Zahanti.

Aidha,amemshukuru Rais  Dkt Samia kutoa fedha hizo ambazo zitatumika kutekeleza mradi huo mkubwa na muhimu unaotegemewa kuchochea kasi na ukuaji wa uchumi kwa wananchi wa Namtumbo,mkoa wa Ruvuma na nchi kwa ujumla.

Kwa upande wake Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru mwaka 2023 Abdala Shaib Kaim,ameiagiza Halmashauri ya wilaya Nantumbo kusimamia ujenzi wa jengo hilo ili wananchi waanze kupata huduma za afya.

Alisema,serikali  kuu kupitia wizara ya afya imetimiza wajibu wake kwa kutoa fedha za mradi huo,kwa hiyo kilichobaki kwa sasa ni viongozi wa wilaya ya Namtumbo kuhakikisha wanamsimamia fundi aliyepewa kazi ya kujenga mradi huo ili aweze kukamilisha haraka.

“ujenzi wa mradi huu uko nyuma sana takribani miezi miwili,nawaomba sana viongozi wa Namtumbo muwe karibu na fundi akamilishe kazi haraka ili wananchi waanze kupata huduma za afya”amesema.

Baadhi ya wakazi wa Namtumbo wamesema,jengo hilo litakapokamilika litawawezesha kupata huduma karibu badala ya kwenda wilaya nyingine za mkoa wa Ruvuma kufuata huduma za kinywa na meno.

Said Rajabu amesema,kukosekana kwa huduma hizo wilayani humo kuna waleta usumbufu na kero kubwa ambapo kwa sasa wanalzimika kwenda hadi Hospitali ya Rufaa ya mkoa(Homso)iliyopo umbali wa kilomita 67.

Abdala Kajala,ameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa mradi huo ili uweze kuwarahisishia upatikanaji wa huduma kwani wamechoka kutembea kwenda maeneo mengine kwa ajili ya kufuata huduma za maeneo na kinywa.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.