Hiki ni kisiwa cha Mbambabay chenye ukubwa wa hekta 27 kilichopo ziwa Nyasa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma,kisiwa hiki kimebarikiwa kuwa na utajiri mkubwa wa samaki wa mapambo ambapo katika ziwa Nyasa kuna aina zaidi ya 400 wa samaki wa mapambo ambao wamekuwa wanavutia watalii na wageni wanaotembelea wilaya hiyo ambayo ni kitovu cha utalii mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.