MUONEKANO kutoka juu wa kisiwa cha Lundo kilichopo ziwa Nyasa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ambacho kimesheheni utajiri mkubwa wa historia ya Tanganyika kwa sababu kilitumika na wakoloni wa kijerumani kuhifadhi watu waliopata ulemavu kutokana na ugonjwa wa ukoma baada ya kumalizika vita ya Majimaji ilioanza mwaka 1905 hadi 1907 hivyo wenye ukoma walianza kuhifadhiwa kwenye kisiwa hicho kuanzia mwaka 1908.
Kisiwa cha Lundo kina ukubwa wa hekta 20 hivi sasa kinamilikiwa na TAWA
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.