MRADI wa kituo cha Afya Kata ya Ligera Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma umeanza kuwahudumia wananchi wa kata ya Ligera kwa kuanza kutoa hudumu za msingi za afya.
Menejimenti ya Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu Tawala Msaidizi Ndugu Jumanne Mwankhoo imetembelea na kukagua mradi wa Kituo hicho ambacho serikali hadi sasa imetoa shilingi milioni 500 kutekeleza mradi huo
Menejimenti imeagiza dosari zilizojitokeza kwenye mradi huo zifanyiwe marekebisho
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.