Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Masonya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma ambacho serikali imetoa shilingi milioni 550 hadi sasa kutekeleza mradi huo.Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Odo Mwisho imetembelea na kukagua mradi huo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.