Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas leo Oktoba 19,2023. amezindua kongamano la Kilimo Biashara ambalo limewakutanisha Wakulima wa Mkoa wa Ruvuma lengo likiwa kuwabadilisha wakulima kuondokana na kilimo mazoea na badala yake kulima kilimo chenye tija.
uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa familia takatifu uliyopo Manispaa ya Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.